Dhahabu safi kabisa

Kingsharon92

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
8,577
Reaction score
12,334
Ukisoma historia ya mataifa yaliyondelea kiviwanda elimu nk yalipitia wakati mgumu sana tena sana vita ukatili wa hali ya juu mpaka biashara ya utumwa ni tu kuendeleza nchi zao iliwachukua miaka dahari kuja kusitaarabika kama tunavyowaona leo halafu sisi kiwepesi tu Tunatamani tuwe kama wao hiyo haipo Dhahabu safi ni lazima ipitishwe kwenye moto mkali sana ili iwe safi
Muwe na jioni njema
 
Kuna watu wamezaliwa kutumia tu hawanaga stress kabisa kwenye maisha
Alafu wengine tunaisoma namba ileile hadi tuje kukaa sawa inakuwa sio poa
Ndio kama haya mataifa sio lazima wote tupitie waliyopitia wao ndio mana tunajiuliza tatizo letu liko wapi
Nchi kama Tanzania ni ya asali na maziwa kabisa yani, lakini tunatubu tu
Kwa nini?
Na hata kama ingekuwa ndio njia ya maendeleo kwa nchi kipindi chao na chetu ni tofauti Leo mambo mengi yamekuwa rahis kuliko zamani
 
Hakuna maendeleo Africa aitoendelea kamwe ni hadi tupate Uhuru kamili dhidi ya wakoloni weusi Kwa kubadili muundo wa uongozi,nchi ziongozwe na watu sio mtu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…