Devis Mosha usicheze rafu hii ni Moshi

huyu jamaa hapati ubunge hapa moshi anajisumbua tuu, wananchi hatumtaki wala nn
 
tatzo la Mosha amekuja wakati mbaya sana! kwa moshi amechemka au amuulize mama Minde na Sarakana watampa historia ya jimbo la Moshi
 
moshi watu hawa heshimu pesa wana heshimu utu akuna tajiri anayeweza lEta nyodo moshi! Kura zote ni ukawa!
 
Mi kura yangu nampa kama nyie hamto mpa ni nyie msimsemee mtu bana
 
Huyo jamaa Devis kwanza ana dharau sana kwa sababu anajiona kuwa ana pesa na anaweza nunua kila mtu sasa mwache ahonge pesa zipigwe aweke mabango kila mahali lakini atajua tareh 25 oct wananchinwa Mosh n wanamna gani
Hatuwezi chagua mtu kwa influence ya fedha hata kidog
 
tatizo hakai moshi, anafanya biashara zake dar, lini atazibua mifereji na wananchi,lina atafagia mji au kuongea na mama lishe, sasa ni kampeni ndio imempeleka moshi, kampeni ikiisha anaenda zake kuangalia matank ya gas na mafuta dar.
pia moshi na gari la bilion 1 hapafai, gari la bilioni 1 akae nalo dar
 

Pitia kwa ndesa pesa

HABARI YA MJINI NI SLAA'; BAADA YA KUPULIZA DAWA YA MENDE ... WAANZA KUTOKA KWENYE MAFICHO
 
Mbunge wa moshi ni jafari huyo mwache ajisumbue tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…