Habaran wana jamii leo nimekuja hapa tujifunze jinsi ya kutengeneza GUI apps
Naomben kujua ni application gan nzur kwa kudesign GUI
Tayar nkmeshasoma programming language zote C.C++.
PYTHON.java. my sql .HTML .php .c#
Ila sasa nataka nijue kutengeneza GUI maswali yangu ni haya.
1.je kila programming language in GUI deaign app yake.
2.zp ni apps nzur kwa GUI design