Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 718
- 1,537
Hii kweli inakera, juzi kuna jamaa nilikuta ameandika peswed kama variable ya password.
😁 hapo shid iko wap mkuu...mfano mimi specifically kwenye mfano uloutumia hapo wa password natumia sana 'pswrd' kama variable name.The thing is anajarb kuwa kuweka katika namna rahis kukumbuka.Project kubwa imagine ina variablea ngapi mpaka ikaishe.Na variables/methods hizo unaweza ukajikuta unazi call kwenye different files??? Sas ukishindwa kuzipa majin memorable we mwenyewe zitakuchanganya...Hii kweli inakera, juzi kuna jamaa nilikuta ameandika peswed kama variable ya password.
Acha ikae hivo..Vipi HAPO:
exchangeFromTZStoUSD
hapo mtu unashidwa kueewa ina return exchange rates au nini, labda hii function ingukuaVipi HAPO:
exchangeFromTZStoUSD
class Currencies:
class Exchange:
class Rates:
def USDTZS():
return https://free.currconv.com/api/v7/convert?q=USD_TZS&compact=ultra&apiKey=???
def TZSUSD()
return https://free.currconv.com/api/v7/convert?q=TZS_USD&compact=ultra&apiKey=???
Currencies.Exchange.Rates.USDTZS()
from functools import wraps
from django.shortcuts import redirect
def UnauthenticatedUser(view_func):
@wraps(view_func)
def wrapper_func(request, *args, **kwargs):
if request.user.is_authenticated:
return redirect('home')
else:
return view_func(request, *args, **kwargs)
return wrapper_func
@UnauthenticatedUser
def Register(request):
form = UserRegistrationForm()
return ...
Hehehe, Tatizo la hili mkuu ni kwamba, project yako anaweza kuja mtu mwingine kuiongezea features au kui repair kitu fulani. Hapo ndio shida inapoanza mfano ukiita variable ya price madafu mtu ataangaika sana kufahamu ina maana gani.😁 hapo shid iko wap mkuu...mfano mimi specifically kwenye mfano uloutumia hapo wa password natumia sana 'pswrd' kama variable name.The thing is anajarb kuwa kuweka katika namna rahis kukumbuka.Project kubwa imagine ina variablea ngapi mpaka ikaishe.Na variables/methods hizo unaweza ukajikuta unazi call kwenye different files??? Sas ukishindwa kuzipa majin memorable we mwenyewe zitakuchanganya...
hapo mtu unashidwa kueewa ina return exchange rates au nini, labda hii function ingukua
Python:class Currencies: class Exchange: class Rates: def USDTZS(): return https://free.currconv.com/api/v7/convert?q=USD_TZS&compact=ultra&apiKey=??? def TZSUSD() return https://free.currconv.com/api/v7/convert?q=TZS_USD&compact=ultra&apiKey=???
hapo juu mfano kwa python
nikiandikaPython:Currencies.Exchange.Rates.USDTZS()
najua nitapata echange rate ya dola kwa sh za kitanzania labda return USDTZS ni 2318.000080
Mm huwa naweka "pwd" huwa ni rhisi na ina herufi chache[emoji16] hapo shid iko wap mkuu...mfano mimi specifically kwenye mfano uloutumia hapo wa password natumia sana 'pswrd' kama variable name.The thing is anajarb kuwa kuweka katika namna rahis kukumbuka.Project kubwa imagine ina variablea ngapi mpaka ikaishe.Na variables/methods hizo unaweza ukajikuta unazi call kwenye different files??? Sas ukishindwa kuzipa majin memorable we mwenyewe zitakuchanganya...
Kuna documentation ,Hehehe, Tatizo la hili mkuu ni kwamba, project yako anaweza kuja mtu mwingine kuiongezea features au kui repair kitu fulani. Hapo ndio shida inapoanza mfano ukiita variable ya price madafu mtu ataangaika sana kufahamu ina maana gani.
Jinsi nzuri ya kuandika variable kwa mimi ninavyoona bora uandike hata ndefu lakini iwe descriptive. Tukirudi kwenye mfano wa password; userPassword, passwordOfTheUser, password_of_the_user. priceOfTheItemSelected. E.t.c.
Hello wakuu.
Current anafanya migration ya system inatoka language moja inaenda nyingine, tuna shift kwa sababu hii system ina deal sana na APIs tunahamia kwenye language ambayo itatupa ufanisi kwenye utegenezaji wa API na mambo ya security.
Sasa hii system walio code, sijajua walikua wanawaza nini. variables, functions, class zina majina ya ajabu
Yani jina la function hali indicate kazi ya hiyo function
Mfano, function inayo return exchange rate kati ya usd na tzs "exchangefromusdtotzs"
Labda variable ya timestamp imeandikwa ivi "usertransactiontimeanddate"
Kiujumla kama mtu una fanya development ya app, website au chochote jaribu ku code kwa clean andika variables majina yake vizuri
Yani baadae ukija kudanya update itakutesa, yani mtu kazi ya 8 months au 10 months mnafanya mwaka na nusu
Okay that's true, unafanyaje marekebisho bila rejea ya documentation,
Au unataka wapachika jina la IT wa bongo bure.
Stefano Mtangoo