comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Wana jamvi
Salaam, Jf
Mchambuzi wa masuala ya kisheria na mwalimu wa masuala ya uhusiano wa kimataifa katika chuo cha Diplomasia Kurasini ametoa maoni kwamba haoni haja ya Rais kushitakiwa akiwa madarakani au akimaliza muda wake kwasababu angeweza kukanyaga watu kimatamko bila kutegemea,
Bwana Kibamba asema hayo wakati akichambua tathimini ya uchaguzi na kuapishwa kwa Rais wa Marekani na baadhi ya matamko yake katika hotuba aliyeitoa siku ya tarehe 20.1.2017 wakati wa sherehe za kuapishwa kwake, ametoa mifano jinsi gani kauli za Rais yoyote zinavyochukuliwa na kutekelezwa kwa uzito
Hivyo Rais hatakiwi kutoa matamko ya mizaha bila kuchunga kauli na matokeo ya kauli zake kwani kauli za Rais zinachukuliwa kama maagizo na zinaingizwa katika kumbukumbu rasmi za serikali
Chanzo: Clouds Tv