J Joo Wane JF-Expert Member Joined Mar 14, 2007 Posts 1,738 Reaction score 3,428 May 27, 2015 #41 Kwa yanga kumsajili kaseke sawasawa kabisa. Ila huyo chanongo siku yanga akifungwa na simba ....................
Kwa yanga kumsajili kaseke sawasawa kabisa. Ila huyo chanongo siku yanga akifungwa na simba ....................
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 May 27, 2015 #42 yahoo said: Angalia tofauti ya upendo wa mashabiki wa simba na wa yanga...nani atoke yanga kwenda mbumbumbu fc Click to expand... Simba ni sawa na '... wenginee, wapo mashuleni, mambo wanayatamani kulea wanashindwa!'
yahoo said: Angalia tofauti ya upendo wa mashabiki wa simba na wa yanga...nani atoke yanga kwenda mbumbumbu fc Click to expand... Simba ni sawa na '... wenginee, wapo mashuleni, mambo wanayatamani kulea wanashindwa!'
Egwugu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,558 Reaction score 8,555 May 27, 2015 #43 Sawa sawa Yanga
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,926 May 27, 2015 #44 Usajili wa bongo hata haueleweki.