Kimbley JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 3,050 Reaction score 2,107 Jun 10, 2015 #21 merengo90 said: Mrenda haupandi hata na kisu shingoni Click to expand... ahahahahaaaa!!!basi mie nakula aina zote za milenda na ninaipenda sana!!!hata uniwekee kuku sitomla kama kuna mlenda
merengo90 said: Mrenda haupandi hata na kisu shingoni Click to expand... ahahahahaaaa!!!basi mie nakula aina zote za milenda na ninaipenda sana!!!hata uniwekee kuku sitomla kama kuna mlenda
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,261 Jun 10, 2015 #22 Kimbley said: ahahahahaaaa!!!basi mie nakula aina zote za milenda na ninaipenda sana!!!hata uniwekee kuku sitomla kama kuna mlenda Click to expand... Unafaa sana kuishi tarime. Mimi ukitaka nikuache mezani changanya mboga na mlenda. Naonaga kam cum zangu vile (sory)
Kimbley said: ahahahahaaaa!!!basi mie nakula aina zote za milenda na ninaipenda sana!!!hata uniwekee kuku sitomla kama kuna mlenda Click to expand... Unafaa sana kuishi tarime. Mimi ukitaka nikuache mezani changanya mboga na mlenda. Naonaga kam cum zangu vile (sory)
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,659 Reaction score 23,139 Jun 11, 2015 #23 Kimbley said: Sipendi pudding mimi,nikila nahisi kutapika Click to expand... Ya caramel jee pia huli? Wakati mwengine chakula inategemea Na mpishi. Pengine nkikupikia mie utakula. 😛
Kimbley said: Sipendi pudding mimi,nikila nahisi kutapika Click to expand... Ya caramel jee pia huli? Wakati mwengine chakula inategemea Na mpishi. Pengine nkikupikia mie utakula. 😛
Kimbley JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 3,050 Reaction score 2,107 Jun 11, 2015 #24 Angel Nylon said: Ya caramel jee pia huli? Wakati mwengine chakula inategemea Na mpishi. Pengine nkikupikia mie utakula. 😛 Click to expand... Labda nitakula aisee maana hizi za hotelini zilinishinda
Angel Nylon said: Ya caramel jee pia huli? Wakati mwengine chakula inategemea Na mpishi. Pengine nkikupikia mie utakula. 😛 Click to expand... Labda nitakula aisee maana hizi za hotelini zilinishinda
Kimbley JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 3,050 Reaction score 2,107 Jun 11, 2015 #25 merengo90 said: Unafaa sana kuishi tarime. Mimi ukitaka nikuache mezani changanya mboga na mlenda. Naonaga kam cum zangu vile (sory) Click to expand... ahahahahahahaa
merengo90 said: Unafaa sana kuishi tarime. Mimi ukitaka nikuache mezani changanya mboga na mlenda. Naonaga kam cum zangu vile (sory) Click to expand... ahahahahahahaa
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,261 Jun 11, 2015 #26 Kimbley said: ahahahahahahaa Click to expand... Kimbley ukicheka kumbe unabonyea Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,733 Jun 11, 2015 #27 Dessert c ni jangwa?
M mamkuu5 JF-Expert Member Joined Nov 24, 2014 Posts 1,139 Reaction score 721 Mar 7, 2016 #28 Waingereza huandaa sahani tatu kwaajili ya mlo,yani kifungua mlo na mlo wenyewe na kitinda mlo,kifungua mlo unaweza kua supu au mtori,mlo wowote na kitinda mlo kinaweza kua salad,ice cream au kituchochote,basi hiyo ndio kitinda mlo na ndio desert
Waingereza huandaa sahani tatu kwaajili ya mlo,yani kifungua mlo na mlo wenyewe na kitinda mlo,kifungua mlo unaweza kua supu au mtori,mlo wowote na kitinda mlo kinaweza kua salad,ice cream au kituchochote,basi hiyo ndio kitinda mlo na ndio desert