nafurahi kuona mmependa mada zangu endelea.kufurahia huduma.bila nyie nisingeandika hayoHahaha jipe moyo na hela zako. Defence mechanism aliyoongelea blue G. Utaendelea kurudi kulia lia humu kila siku.
Ukisema uongo tutakuongelea tu. Hujui tu unapata therapy ya bure hapa.
Mada zinaletwa humu ili zisomwe. It by no means mean that zinafurahiwa. As I said, una mental illness.nafurahi kuona mmependa mada zangu endelea.kufurahia huduma.bila nyie nisingeandika hayo
ninaposema wa4 simaanishi exactly that figure inaweza ikawa zaidi ya hao,pia mkuu inabidi uniombe radhi kwani unmeniita mjinga na wakati huna haki ya kufanya hivyo na huna uthibitisho vile vile kwani ujinga kwako kwangu point za maana kabisaIvi unaamini kabisa kwamba anaweza kuwa rejected kiasi hicho? Kutokuwa rejected na wanawake 4 ndio kitu gani?! Kwamba una furaha?!!! Inawezekana usikubaliane nae lakini haimanishi ana hasira na kumbuka furaha yako ni wewe mwenyewe usiwe mjinga... Kama furaha yako inategemea jinsia nyingine pole sana kwasababu siku ukiikosa utajinyonga bure au ndio utapiga watu risasi kwa kukataliwa.
Nimesema usiwe mjinga, sikusema ww ni mjinga, wapi ulipotoka nae sio muhimu kwangu isipokuwa point yako ndio iliyopelekea nikujibu mkuu.ninaposema wa4 simaanishi exactly that figure inaweza ikawa zaidi ya hao,pia mkuu inabidi uniombe radhi kwani unmeniita mjinga na wakati huna haki ya kufanya hivyo na huna uthibitisho vile vile kwani ujinga kwako kwangu point za maana kabisa
halafu mkuu sokwe unajua mimi nimetoka wapi na huyo mkuu mpaka hapo tulipofikia au umeamua tu kufikia hitimisho kwamba naona furaha yangu inatokana na watu wa jinsia tofauti?
samahani kwa kuwa sitaclarify statement yangu mkuu kwa sababu nikiclarify ni kama narudia tena mtiririko wa wapi nilipotoka na huyu jamaa jambo ambalo sipo tayari kulifanya na kwa kuwa wapi nilipotoka naye sio muhimu kwako natumai tutaishia hapa na mimi binafsi najua nini kinanipa furaha japo maisha ni watu na ili tuenjoy maisha ni muhimu tuwe na watu tunaowapenda, ni kweli furaha haitokani na watu wa jinsia tofauti lakini kwa namna moja ama nyingine watu kuwepo kwa watu hao kunachangia furaha kwa wanadamuNimesema usiwe mjinga, sikusema ww ni mjinga, wapi ulipotoka nae sio muhimu kwangu isipokuwa point yako ndio iliyopelekea nikujibu mkuu.
Being accepted na wanawake hata wawe 100 haina maana yoyote na mada husika unless you can clarify that please... Narudia tena na ushike sana neno hili furaha yako daima isitegemee mtu/watu wa jinsia yoyote isipokuwa ww mwenyewe.
you pick fight with everyone imbecile?!samahani kwa kuwa sitaclarify statement yangu mkuu kwa sababu nikiclarify ni kama narudia tena mtiririko wa wapi nilipotoka na huyu jamaa jambo ambalo sipo tayari kulifanya na kwa kuwa wapi nilipotoka naye sio muhimu kwako natumai tutaishia hapa na mimi binafsi najua nini kinanipa furaha japo maisha ni watu na ili tuenjoy maisha ni muhimu tuwe na watu tunaowapenda, ni kweli furaha haitokani na watu wa jinsia tofauti lakini kwa namna moja ama nyingine watu kuwepo kwa watu hao kunachangia furaha kwa wanadamu
just chase her with millions strokes, tel her to go and get mixed with the society.how will you feel your sister being at home for good just because she is dictating terms to men's?
no idiot I don't to you it is a fight but to me is just normal explanation what do you sayyou pick fight with everyone imbecile?!
Hahahaaa.hakupi nafasi hata ya kujibu meseji au kupokea simu mkiwa wote! mmoja nilimwaga alikuwa anakomaa na mimi usiku nikiwa nimemuaga usiku akiniona online najibu meseji ya mtu ana mind!.khah.wanakaba mpaka penatiUmkute alizalishwa harafu umri unamtupa mkono. Atakuganda zaidi hata ya ruba. nioe nioe x3.
not interested only with you who started it I don't tart with someone who is wise only fools who I tart withthere other bidders who might be interested.
To the rude am rude,to the polites ones I am polite to the stupid am stupid,to the wise I am wise as well,i live with a person according to the way he/she wants me to live with her that's my principle BOB LUSEyou sound very rude BLUE G
No wonder you are desperate single.
sorry that I have unveiled you.
you sound very rude BLUE G
No wonder you are desperate single.
sorry that I have unveiled you.