Despacito: kimeru cover

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
34,961
Reaction score
80,240
Covers nyingi za bongo wanazingua ila hawa jamaa wa Kimeru wamenifurahisha kweli kwenye Despacito. Wasikilize
 
Uimbe basi na wewe hata cover ya nimpendenani nikusikilize [emoji3]
Mbona nilishatoa cover nyingi 😛
Kama Ed sheeran ile shape of you ndo ilikuwa cover yangu ya mwisho

Apa nimemaliza hiyo rockabye bado kuipost youtube tu 🙄
 
Mbona nilishatoa cover nyingi [emoji14]
Kama Ed sheeran ile shape of you ndo ilikuwa cover yangu ya mwisho

Apa nimemaliza hiyo rockabye bado kuipost youtube tu 🙄
Like serious? Haha fanya kunitumia jina basi nikimbilie YouTube
 
Like serious? Haha fanya kunitumia jina basi nikimbilie YouTube
hahahahh
Hutakiwa kuwa mwepesi kuamini hivyo

Siwezi kuwa muimbaji kwa sauti yangu hii
 
Kila kitu kipo youtube hadi na covers za raggae za despatito.., so nendeni huko mtaziona tuu
 
hahahahh
Hutakiwa kuwa mwepesi kuamini hivyo

Siwezi kuwa muimbaji kwa sauti yangu hii
Shukuru hatuna voice note humu.... see you BTW [emoji119][emoji119][emoji125] [emoji125]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…