Hii si ukatoe Zawadi! Unaweza ukaipeleka kwenye kituo cha kulea Watoto yatima ama maeneo mengine kama Zawadi.
Tunza hiyo mashine huko Marekani ilikotoka wanaihitaji kwenye makumbusho ya vitu vya kale!
Mkuu mzigo nimeusoma, pia nafikiri hao wanaosema mbovu hapo juu hao hawajui umuhimu wa hiyo kitu, mimi itanifaa kwa kazi zangu za ofisini ila ntakupa 130K, Ili kiasi kingine nikachukue monitor flat. Au unasemaje?
Tunza hiyo mashine huko Marekani ilikotoka wanaihitaji kwenye makumbusho ya vitu vya kale!
Hii si ukatoe Zawadi! Unaweza ukaipeleka kwenye kituo cha kulea Watoto yatima ama maeneo mengine kama Zawadi.
Habari zenyu wakuu, Nauza desktop Dell GX270 PENTIUM4(PICHANI) Hard disk 40GB, processor 2.8GHZ, Ram 512MB, DVD room. nauza pamoja na kila kitu chake (monitor ya chogo) bei ni 160K. Haina tatizo lolote. kama mzigo umeuelewa nicheki kupitia 0752490238.Nipo Dar, Ahsante!
10×11 kinatosha kitanda cha 5×6 na set ya sofaMkuu hicho chumba cha DVD kina size gani?