Hallo,
Nahitaji Desktop computers 20 kwa ajili ya shule yangu. Ziwe na
1. Ram kuanzia 512
2. HDD kuanzia 60.
3. Full set yenye flat screen monitor.
4. Kwa aliye tayari anipangie bei!
Naweza kukupa PC 9 kwa 550,000 Tsh zipo Arusha tayari kwa 20 au zaidi utapata baada ya wiki mbili tuwasiliana zaidi, ni used PC na ziko kwenye condition nzuri sana no scratch kwenye screen. Angalia attachment hii. View attachment Dell Optiplex 620.zip
pliz ni email kwa pressdown@hotmail.com tupeane mawasiliano alafy nikusaidie na tena nitakuwa fundi wa kuangalia mashine zako yani usipoteze muda mkuu nitumie email tuwasiliane