Wanatekno kwema jamani?,
Haya sasa, samahani lakini naitaji tu kupata picha ya kimawazo na elimu toka kwako juu ya aina hizi mbili za kompyuta za mezani.
Hapa nazungumzia kompyuta wima (tower case) na kompyuta ulalo (SFF), Wajuzi wa mambo najua mmenipata.
Tuzungumzie kuhusu: ubora, spea n.k ipi bora?.
Karibu.