hapana mkuu kwa taarifa iliyotolewa na rpc wa morogoro ni kuwa wanamtafuta dereva alikimbia, na inaonekana hakuwa na uzoefu na safari ndefu kwani inaonekana hiyo sehemu ilikuwa hakuna kitu chochote mbele labda kilichopelekea hadi kuacha barabarani, ila kulikuwa na mvua kidogo.