Dereva wa mwendo kasi'

Abiria hawana shukrani,ukiendesha kwa mwendo wa taratibu watalalamika tunachelewa kufika,ukiikimbiza sana gari wanaingia hofu na kutaka upunguze kazi,cha msingi dereva endesha gari unavoweza ili tufike tunakoenda
Tatizo dereva muongo,akikosa hela ya kunywa maji safarini anasingzia gari gari Galina ubora, yasemekana dereva huyu aliisha wahi kuugua degedege utotoni.
 
Siwezi kunyamaza kwa sababu wewe haujaekewa mimi ninacholalamika kuhusu kuwadhalikisha ndugu zetu wanaotubeba kwenye hayo mabasi


Mantiki yako ya fumbo nalielewa

Sasa sijui na wewe kama unanielewa ninachokuelewesha [emoji15]
Pole sana shuka kwenye gari la mwendokasi
 
ndefu sana ila tamu
 
hakuna hoja hapa Zaidi ya pumba tu
Mleta andiko ni kituko. Hata huu usaha anaita hoja. Kuna hoja gani ya kuijadili. Mwanzo mwisho dereva katoka dereva kaingia kafunga vioo,kafungua vioo. Kwa hii mifugo ya Mbowe hii ni hoja
 
Mleta andiko ni kituko. Hata huu usaha anaita hoja. Kuna hoja gani ya kuijadili. Mwanzo mwisho dereva katoka dereva kaingia kafunga vioo,kafungua vioo. Kwa hii mifugo ya Mbowe hii ni hoja
Kweli upepo wa gari la Mwendo kasi unaaribu ubongo
 
mbaya zaidi anaendesha hata lesen hana cheti cha veta hana na wauza mafuta wamegoma kuuza ivo yalioko yakiisha tutatembea kwa mguumrad tufike
 
Dereva wa mwendo kasi
Utingo mwendo Kasi Je...ca
Hatufikiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…