Dereva wa kukodishwa nipo Arusha

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
1,575
Reaction score
3,001
🚘 DEREVA WA KUAMINIKA ANAYEPATIKANA ARUSHA πŸš—
Naitwa James, mwenye umri wa miaka 34.

Nina leseni daraja A, B, D na E, na uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika kazi ya udereva wa magari binafsi na ya kibiashara.

βœ… Uzoefu wa safari ndefu na mijini
βœ… Naweza kwenda mikoa mbali mbali pia
βœ… Ujuzi wa kanuni za usalama barabarani
βœ… Mwadilifu, makini na mwenye nidhamu kazini
πŸ“ Napatikana Arusha
πŸ“ž Mawasiliano: 0712 350 159
πŸ‘‰ Ninakodishwa kwa siku, wiki au miezi – kwa kazi za muda mfupi au mrefu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…