Dereva wa kukodi napatikana

Dereva wa kukodi napatikana

James 25th

Member
Joined
Feb 24, 2025
Posts
38
Reaction score
17
Habari!!! sikukuu za Pasaka zimekaribia, kwa wale wote wenye safari mbalimbali ndani ya Dsm au nje yaani mikoani na wana usafiri BINAFSI wanahitaji dereva nipo kwa ajili yako, Mimi ni dereva professional kwa kuendesha familia na watu BINAFSI, gharama ni Makubaliano

Kwa mawasiliano nipigie 0627776134, napatikana Dar es salaam Tanzania.
 
ukipata na wanao hitaji mama fua nipasie huku,,, kila lenye kheri ndugu
 
Habari!!! sikukuu za Pasaka zimekaribia, kwa wale wote wenye safari mbalimbali ndani ya Dsm au nje yaani mikoani na wana usafiri BINAFSI wanahitaji dereva nipo kwa ajili yako, Mimi ni dereva professional kwa kuendesha familia na watu BINAFSI, gharama ni Makubaliano

Kwa mawasiliano nipigie 0627776134, napatikana Dar es salaam Tanzania.
Ngoja nitembee na upepo mimi pia ni dere wa kuaminika kabisa 0746590147
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom