Dereva wa kujitolea

TURTEKING

Senior Member
Joined
Nov 4, 2020
Posts
128
Reaction score
223
Mimi ni kijana wa umri 24 nahitaji kujitolea kwenywe fani ya udereva.

Nipo Dar leseni yangu ni class B, D, C1,NA E

Lengo la kujitolea ni kuwa kwenye mzumguko tu wa kuweza kuja kupata kazi kwa haraka kuliko kukaa home bila kujishughulisha.

0783231177.

Asanteni
 
Una kadi ya ccm?
Hapana pia sio mtu wa siasa kuhusu ugumu wa ajira hata China na Marekani wanalia na hayo mambo pia hapa bongo watu wenye fani ya udereva wapo wengi inakuwa ngumu kupata hata sehemu ya kujishikiza.

TUPO TUNAPAMBANA KAMA VIJANA asante
 
Hapana pia sio mtu wa siasa kuhusu ugumu wa ajira hata china na marekani wanalia na hayo mambo pia hapa bongo watu wenye fani ya udereva wapo wengi inakuwa ngumu kupata hata sehemu ya kujishikiza
TUPO TUNAPAMBANA KAMA VIJANA asante
Kwa iyo Kama china na marekani wanalia wewe unataka nini hasa


Endelea kulia basi
 
Kwa iyo Kama china na marekani wanalia wewe unataka nini hasa


Endelea kulia basi
Ndio nipo na mimi nalia hapa kuona kama naweza pata msaada HUWEZI tegemea serikali kwa kila kitu TUMIA AKILI GUVU NA JUHUDI ZAKO kufanikisha mambo yako kama KIJANA asante
 
Nenda kwenye mashule
Wazo zuri nafanya hicho kitu ila kila sehemu wanakuwa na madereva WAO tayari mpk nipate sehemu ambayo ipo wazi nijaze nafasi ndio nahangaika kila kona
 
Faini zitakazotokana na uzembe wako utazilipaje?
Uzembe hapana kosa linaweza kutokea kwa bahati mbaya tu haswa ya kujisahau na sio ya kujiludia unaweza kuta hata miezi mitatu halijatokea kosa so likija tokea mara moja tu unaweza fanya kama kunisaidia na mm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…