Dereva wa bajaji anahitajika

Vijana wa Bajaji wasumbufu sana.
Akiwa hana chombo anakuwa mpole sana. Na kukuhakikishia kuwa kila kitu kitaenda sawa kama mlivyokubaliana.
Ukishampa chombo matatizo yanaanzia hapo.
1. Mnaanza kusumbuana kwenye hesabu
2. Yeye anakuwa bosi Chombo anamwachia mtu mwingine.

Watu wengi wameacha biashara ya Bajaji kwa hasara kubwa kwa sababu ya madereva.
Hawajali na hawathamini kabisa kuaminiwa.
 
Uko sawa kiongozi. Ndo shida ya vijana hawataki kufanya kazi. Anatafuta Bajaji ili nae awe Boss
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…