Basi kamanda uko vizuri aisee.....tutakuja utupe mashule......[/QUOTE nyamchele Hiyo ni rahisi kwa sababu kibin inakata tera, lakini ingekuwa imeunganika kama yale ya Makontena, ingeleta shida.
Hiyo kwa semi trailer ni rahisi sana sababu upinda usukani sana tyre za kwenye trailer hazizunguki katika mfumo wake wa kawaida bali zinasota kwa kusugua, ila fuso haifai maana tyre huzunguka wakati wote