Dereva Trekta Kanipora mpenzi

hahahahah miwani mweupe plus trekta kweli hayo ni manyanyaso kweli
 
Sijaelewa kwa nini umependa kum-identify kama dereva trekta, hakuna namna nyingine ungeweza kumtambulisha na ujumbe ukafika?
 
Umejiyahidi kuanza mapenzi zamani sanaaaa, tangu darasa la Tatu! Wewe noma
 
Nimeipenda hadithi yako. Its a nice short story... Itabidi uirefushe ushiriki kwenye Caine awards...
 
Hahaha! Ndo dunia hii, cha msingi uvumilivu tu pengine aliye chaguo lako bdo hujampata.
 
Pole sa maana watoto wakike ndo tabia zao kutufiric tuuuu ila kuna cku wataukumiwa na kufunukwa:sly::sly:😱😱
 
Na wewe mchukue rafiki yake..
 
Jamaa anamlima sawasawa
 
Eti "hata shule nilikuwa nawahi ili tu nimuone anapoingia kwenye geti la shule".

Uongo wako umeuonesha ktk maneno yaliyokolezwa wino hapo juu bila wewe mwenyewe kujitambua. Tangu lini hapa Tanzania shule za vijijini zikawa na Geti? Kweli njia ya muongo ni fupi!
 
Ha ha ha.. Kajinyonge kwenye mti wa mnyanya lol..
TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO........
Leo ni siku ya kumsulubisha Yesu, hima hima mabibi na mabwana, mjitokeze kwa wingi. Msipojitokeza, Yesu hatokufa tutakosa pilau siku ya Jumapili.
 
Hii I'd sijaiona muda mrefu humu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…