Alkam Alkam
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 603
- 512
Umeongea vizuri mkuuMadereva wengi wanaangaika kupata ajira kwa kupitia fani zao za udereva embu pitia hapa upate mbili tatu,kazi ni nyingi ila connection ndo wengi awapati
1/Kuna Mall kubwa katika miji ambayo tunaishi baadhi ya hizi Mall wanakua na mbao/board za matangazo nenda stationary Andika tangazo lako vizuri la kuomba kazi
Nenda siku katika hizo Mall omba kuongea na uongozi na uwaombe kuweka tangazo lako Hapo ila jitahidi kipindi chote hicho uwe unamdhamini anae eleweka.
2/Jichanganye na watu wa fani yako beba leseni na copy za vyeti nenda sehemu unakojua wanahusika na magari tafuta mwenyeji eneo hilo na mwambie shida yako
●Keko sheli kwa madereva wa it
●Kinondoni B wanapo kodisha magari
●Kwenye mageti ya bandarini
3/Penda kutembelea mtandaoni na kusearch {KAZI ZA UDEREVA} Katika Google zitakuja page nyingi na anza kupitia moja moja huenda ukapata nafasi na ku apply
4/Nenda pale utumishi opposite na Chuo cha DIT ukiwa na vyeti vyako kuna maelekezo watakupa ya kufanyiwa interview na kuacha copy za vyeti vyako hapo ikitokea nafasi hua wanawapa kipaumbele waliofanyiwa interview na vyeti vikiwa hapo
N.B kipindi chote hicho jitahidi kua smart na active kwa number za simu na email address yako.
Kama kuna anaejua njia ingine ongeza hapa.
Well doneMadereva wengi wanaangaika kupata ajira kwa kupitia fani zao za udereva embu pitia hapa upate mbili tatu,kazi ni nyingi ila connection ndo wengi awapati
1/Kuna Mall kubwa katika miji ambayo tunaishi baadhi ya hizi Mall wanakua na mbao/board za matangazo nenda stationary Andika tangazo lako vizuri la kuomba kazi
Nenda siku katika hizo Mall omba kuongea na uongozi na uwaombe kuweka tangazo lako Hapo ila jitahidi kipindi chote hicho uwe unamdhamini anae eleweka.
2/Jichanganye na watu wa fani yako beba leseni na copy za vyeti nenda sehemu unakojua wanahusika na magari tafuta mwenyeji eneo hilo na mwambie shida yako
●Keko sheli kwa madereva wa it
●Kinondoni B wanapo kodisha magari
●Kwenye mageti ya bandarini
3/Penda kutembelea mtandaoni na kusearch {KAZI ZA UDEREVA} Katika Google zitakuja page nyingi na anza kupitia moja moja huenda ukapata nafasi na ku apply
4/Nenda pale utumishi opposite na Chuo cha DIT ukiwa na vyeti vyako kuna maelekezo watakupa ya kufanyiwa interview na kuacha copy za vyeti vyako hapo ikitokea nafasi hua wanawapa kipaumbele waliofanyiwa interview na vyeti vikiwa hapo
N.B kipindi chote hicho jitahidi kua smart na active kwa number za simu na email address yako.
Kama kuna anaejua njia ingine ongeza hapa.
Miaka miwili.Naomba kuuliza
Inachukua muda gani leseni ilio expire kufungiwa kabisa
Mimi lesen yangu iliisha 2014 lkn 2020 nimeirudisha na imekubaliMiaka miwili.
Una bahati. Ilitakiwa uanze upya.Mimi lesen yangu iliisha 2014 lkn 2020 nimeirudisha na imekubali
Ujapenyeza chochote kitu?Mimi lesen yangu iliisha 2014 lkn 2020 nimeirudisha na imekubali
Hapana bossUjapenyeza chochote kitu?
Hiyo mpaka upate Mtu wa mtaani ila kusema chuo labda wanayo sijawai sikia.Wapi wanafundisha kuendesha Fiat 682? Mkasi juu mkasi chini?