Dereva Natafuta Gari Ya Hesabu

Dereva Natafuta Gari Ya Hesabu

Aikasia24

New Member
Joined
Jun 17, 2024
Posts
3
Reaction score
0
Habari Wakuu,
Nipo Dar es salaam
Ni Dereva
Natafuta gari ndogo ya hesabu (bolt) kwa week.

Mwenye nayo tafadhali naomba unitafute nina uhitaji sana.
0766445556
 
Benki gani mkuu?
Ukishasikia ivyo inabidi Sasa ikiwekezekana ufuatilie benki zote zilipo nchini.
Usisubirie mpaka uambiwe kuwa njia unafika mbinguni, Kama unapapenda mbinguni utajaribu njia zote mwishowe utakuja kuipata njia yenyewe na ndio iyo inayokupa furaha and maana ya safari ya mbinguni kuwa ina worth your struggle.
Samahani Kama nitakuwa nime sound against your instincts or beliefs
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom