DEREVA / MWALIMU

DEREVA / MWALIMU

Minzimalulu

Member
Joined
Jun 5, 2019
Posts
25
Reaction score
11
Husika na kichwa cha habari wakuu mm ni Mwalimu wa Geography na Kiswahili na elimu ya Degree (Baed) ya Udsm 2017 pia ni dereva mzuri na nna leseni yangu yenye madaraja A²,B,D na C³ nilikua natafuta
A) Gari ya kufanyi biashara ya Uber na Taxify kwani nimekamilika kwa kila kitu hivyo accounts nikipata details za Gari zinakamilika siku moja tuu na Gari lawez kua la hesabu au Mkataba hapa hesabu utapewa bila usumbufu kwani nilijaribu kuifanya kazi hii japo nlikua natumia account za jamaa yangu

B) Kazi yyte ya kufindisha Geography na Kiswahili kwa level yyte ile kwani niko vizuri na niko tayar kwa interview muda wwte 24/7 malipo tutazungumza hapa kwa manufaa zaidi Geography niko vzr zaid nnaweza kusaidia kwa madarasa ya mitihani hasa 6 na 4 natoa semina elekezi ,mbinu za kujibia na kujengea wanafunz kujiamini
C) Kaz yyte ile ya uongoz nnaweza kwani nnmesomea management na nnaujuz wa computer kwa Microsoft word,excel na Internet

Hints

i) Uaminifu ni kwa 100%
ii)Ni mchapakazi na nnajielewa
iii)Dhamana niko tayar hata kuweka vyeti from 4 to Degree kwani najiamini kwa ninachokifanya
iv) Age 26, location Mbez beach,

Hivyo kwa bosi au mtu yyte mwenye Connection anaweza kunicheki tukafanya kazi

Call 0759668836
adamjosephmagesa@gmail.com
 
All the best

Ya udsm imekunyima kazi, nyie wa UDSM mna nyodo na maringo sana.
 
Jaribu na kupata reseni daraja E,kwa elimu yako kwenye makampuni ya maloli unapata kazi bila wasiwasi
 
lazima ulituma maombi ukakosa,

walikuwa wanaangalia vigezo mkuu.

na kwa akili hii kweli hukuwa na vigezo vya kusoma 'At the Hill'
Ya udsm imekunyima kazi, nyie wa UDSM mna nyodo na maringo sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom