Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,318
- 64,479
Huyuhuyu mbongo?Ufanye ukaguzi wa nje ya gari
Ata kama ni mpya lazima ufanye hivyo, kwa sehemu unayopaki inaweza kuwa na changamoto; nyoka anaweza kuingia kwenye radiator kwa ajili ya kutafuta joto n.k kwa hiyo ukaguzi ni muhimu.Hahaa! Hii daily routine (tena sio daily, ni kila unapotaka kuiondosha) kama ulinunua gari mkononi au dalali lazima zikuhusu tu 😆
Gari ni mfumo, na mfumo unaweza kuingiliwa na itilafu; ni vizuri zaidi kuhakiki usalama kwanza.Wajerumani wanasema hivi, Hayo mambo yote wanamaliza kwenye dashboard.
Inabidi kufanya hivyo, kwa usalama wako pamoja na usalama wa watumiaji barabara wengine.Huyuhuyu mbongo?
Asante sana mkuuInabidi kufanya hivyo, kwa usalama wako pamoja na usalama wa watumiaji barabara wengine.
Sawa ila inabidi uangalie hivyo vyombo vya moto kabla hujaendesha. Uzi wa jamaa ni mzuri sana.nyie mnazungumzia magari ya kizamani, hizi gari za kisasa hazina mambo hayo, radiator inawekwa coolant ambayo inakaa zaidi ya mwaka
Inawekewa coolant ya lita ngapi?nyie mnazungumzia magari ya kizamani, hizi gari za kisasa hazina mambo hayo, radiator inawekwa coolant ambayo inakaa zaidi ya mwaka
Hizo hatua ni za muhimu sana ata kama una uzoefu wa miaka 50 barabaraniNimescreen short huu uzi wako mzuri. Utanisaidia baadaye.
Wengi huwa tunaendesha magari kimazoeaSawa ila inabidi uangalie hivyo vyombo vya moto kabla hujaendesha. Uzi wa jamaa ni mzuri sana.
Ndivyo inavyotakiwa kwa maisha yote, ya kupeleka chombo barabaraniHayo maisha niliishi nayo kipindi Nina Carina TI
Kwaiyo unataka kutuambia gari mpya hazina hayo mambo mdau aliyo orodhesha?nyie mnazungumzia magari ya kizamani, hizi gari za kisasa hazina mambo hayo, radiator inawekwa coolant ambayo inakaa zaidi ya mwaka
unanunua galon la Lita 5 kwa elfu kumi unatumia mpaka unachoka. shida watu mpaka leo wanaweka maji ya mfereji, au maji ya chupa , makosaInawekewa coolant ya lita ngapi?
unanunua galon la Lita 5 kwa elfu kumi unatumia mpaka unachoka. shida watu mpaka leo wanaweka maji ya mfereji, au maji ya chupa , makosa