Dereva mahiri

Dereva mahiri

Jah bless

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
277
Reaction score
462
Jinsia: Mwanaume,31.
makazi: Dar es salaam
Uzoefu barabarani: Zaidi ya miaka miwili na nusu bila tukio la ajali.
leseni safi daraja: A A2 B C1 C2 C3 D
Elimu: kidato cha sita (6)
Mafunzo: Advanced drivers grade2-vip, National Institute of Transportation (NIT).
Mafunzo2: Basic driving course, Home of Excellence Driving School
Mengineyo: Nidhamu ya hiari. Kazi kwanza na mwaminifu.
Zaidi: wadhamini wapo wakihitajika.
mawasiliano: 0626 876 896
 
jinsia: Mwanaume,31.
makazi: Dar es salaam
Uzoefu: miaka mitatu (3)
leseni safi daraja: A A2 B C1 C2 C3 D
Elimu: kidato cha sita (6)
Mafunzo: Advanced drivers grade2-vip, National Institute of Transportation (NIT).
Mengineyo: Nidhamu ya hiari. mchangamfu na mwaminifu.
Zaidi: wadhamini wapo wakihitajika.
mawasiliano: 0626 876 896
Mkuu kimbia chap Ajira potal zipoo
Na Ewura wametoa
 
jinsia: Mwanaume,31.
makazi: Dar es salaam
Uzoefu: miaka mitatu (3)
leseni safi daraja: A A2 B C1 C2 C3 D
Elimu: kidato cha sita (6)
Mafunzo: Advanced drivers grade2-vip, National Institute of Transportation (NIT).
Mengineyo: Nidhamu ya hiari. mchangamfu na mwaminifu.
Zaidi: wadhamini wapo wakihitajika.
mawasiliano: 0626 876 896
Kuna ajira (400) Serikalini omba zimerudiwa,Kuna Ajira (43) za Tanesco omba,kuna za Ewura (4)omba,kuna za TFS-mbeya (2) omba pia.

Kila la kheri mKuu.
 
jinsia: Mwanaume,31.
makazi: Dar es salaam
Uzoefu: miaka mitatu (3)
leseni safi daraja: A A2 B C1 C2 C3 D
Elimu: kidato cha sita (6)
Mafunzo: Advanced drivers grade2-vip, National Institute of Transportation (NIT).
Mengineyo: Nidhamu ya hiari. mchangamfu na mwaminifu.
Zaidi: wadhamini wapo wakihitajika.
mawasiliano: 0626 876 896
nina kibint changu kina 23 years nilitaka ukiendeshe ..... lakin kwa umri wako huo mhhh
 
nina kibint changu kina 23 years nilitaka ukiendeshe ..... lakin kwa umri wako huo mhhh
Mbona unakimbiza ridhiki mkuu? Ukisoma huo wasifu utagundua huyo dereva ni "professional", anayeweza kufanya kazi na mtu yeyote katika mazingira tofauti cha msingi ni weledi. Ondoa shaka ndugu tufanye kazi.
 
Ajira nimeshapata hapa dsm kwenye kampuni binafsi wadau. Mambo yakibadilika nitarudi hapa kwa msako mwengine.
Thank you.
 
Back
Top Bottom