Dereva mahiri huyu hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dereva mahiri huyu hapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GAGL, Sep 24, 2011.

 1. G

  GAGL Senior Member

  #1
  Sep 24, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Anaitwa henry jonas, ana uzoefu wa takribani miaka mitano, ana leseni inayomruhusu kuendesha magari aina yote isipokuwa magari ya ujenzi na mabasi ya mikoani, amehitimu kidato cha nne na amepitia chuo cha mafunzo ya udereva veta na kufuzu vizuri katika fani hii. Anapatikana dar es salaam, namba yake ya kiganjani ni 0713 764684, tafadhari saidia kumpatia ajira kijana huyu maana ni mtendaji kazi mzuri wa kazi na ana moyo wakujituma, anaelewa nini afanye katika kutimiza wajibu wake kwa majukumu aliyopewa. Anatanguliza shukrani kwa wale wote watakaosoma taarifa hii na shukrani za dhat kwa wote watakaochukua hatua zaidi kumsaidia.
   
 2. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Upuuuuuziiiiiiiiiiii,yani unashindwa kwenda jukwaaaaa la Ajira na Kazi unakuja huku........
   
 3. samito

  samito JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Msaidie kumuelekeza na sio kumuita mpuuzi, sio wote WAJUAJI kama wewe.
   
Loading...