P pilau JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 1,595 Reaction score 450 Jan 29, 2013 #1 ..........Mwendesha bodaboda jana alitoka nduki bafuni alipokuwa anaoga.. huku akipiga kelele ...bafuni kuna mashetani..... kwa sababu kila akijimwagia maji kichwani hayafiki kwenye nywele .... kumbe kasahau kuvua helmet......
..........Mwendesha bodaboda jana alitoka nduki bafuni alipokuwa anaoga.. huku akipiga kelele ...bafuni kuna mashetani..... kwa sababu kila akijimwagia maji kichwani hayafiki kwenye nywele .... kumbe kasahau kuvua helmet......