Dereva anusurika kusombwa na maji

Kwa jinsi maji yalivyomengi, huo mti unaweza ukang'olewa. Wamrushie kamba, apige mbizi hadi ng'ambo badala ya kumuangalia.
 
sasa aombe Mungu na huo mti uwe na mizizi imara. Kwa sasa ardhi imeshika sana maji hivyo hata mizizi ya miti ambayo si deep rooted ni hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…