Mwanyololosya Member Joined Sep 6, 2018 Posts 7 Reaction score 7 Sep 11, 2018 #1 Ana leseni class C1, C2, C3, D, E ikiwa kazi yoyote kwenye kampuni au kwa watu binafsi, msaidieni wana jf
Ana leseni class C1, C2, C3, D, E ikiwa kazi yoyote kwenye kampuni au kwa watu binafsi, msaidieni wana jf
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Sep 11, 2018 #2 Anahitajika dereva haraka wa kusambaza bidhaa zetu - JamiiForums Pita hapo.
Erickford4 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 1,133 Reaction score 1,099 Sep 11, 2018 #3 Mbao za Mawe said: Anahitajika dereva haraka wa kusambaza bidhaa zetu - JamiiForums Pita hapo. Click to expand... Nilitaka kumwambia hivyo hivyo nikakosa namna ya kuattach huo uzi
Mbao za Mawe said: Anahitajika dereva haraka wa kusambaza bidhaa zetu - JamiiForums Pita hapo. Click to expand... Nilitaka kumwambia hivyo hivyo nikakosa namna ya kuattach huo uzi
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Sep 11, 2018 #5 Erickford4 said: Nilitaka kumwambia hivyo hivyo nikakosa namna ya kuattach huo uzi Click to expand... Atakuwa kapata taarifa japo hajarudi kusema.
Erickford4 said: Nilitaka kumwambia hivyo hivyo nikakosa namna ya kuattach huo uzi Click to expand... Atakuwa kapata taarifa japo hajarudi kusema.
Mwanyololosya Member Joined Sep 6, 2018 Posts 7 Reaction score 7 Sep 11, 2018 Thread starter #6 Mbao za Mawe said: Atakuwa kapata taarifa japo hajarudi kusema. Click to expand... Asante nimeiona ilaa nikifungua ina load tuu
Mbao za Mawe said: Atakuwa kapata taarifa japo hajarudi kusema. Click to expand... Asante nimeiona ilaa nikifungua ina load tuu
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Sep 11, 2018 #7 Mwanyololosya said: Asante nimeiona ilaa nikifungua ina load tuu Click to expand... Jaribu tena na tena.
Mwanyololosya said: Asante nimeiona ilaa nikifungua ina load tuu Click to expand... Jaribu tena na tena.
Tape measure JF-Expert Member Joined Nov 26, 2015 Posts 1,988 Reaction score 3,689 Sep 12, 2018 #8 huyo dereva anapatikana mkoa gani, ana miaka mingapi
Mwanyololosya Member Joined Sep 6, 2018 Posts 7 Reaction score 7 Sep 12, 2018 Thread starter #9 Tape measure said: huyo dereva anapatikana mkoa gani, ana miaka mingapi Click to expand... Ana miaka 26 anapatikana bagamoyo
Tape measure said: huyo dereva anapatikana mkoa gani, ana miaka mingapi Click to expand... Ana miaka 26 anapatikana bagamoyo
P Prince jr 47 JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 285 Reaction score 246 Sep 13, 2018 #10 Tape measure said: huyo dereva anapatikana mkoa gani, ana miaka mingapi Click to expand... Mkuu na mm dereva pia
Tape measure said: huyo dereva anapatikana mkoa gani, ana miaka mingapi Click to expand... Mkuu na mm dereva pia
The Transporter JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 3,582 Reaction score 7,242 Sep 13, 2018 #11 Sema wewe ndio unatafuta kazi ila unasingizia mwingine