Dereva anatafuta bajaji ya mkataba

Dereva anatafuta bajaji ya mkataba

The Eric

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
6,555
Reaction score
11,251
Kuna dereva anatafuta bajaji ya kuendesha ya mkataba kwa maeneo ya dar es salaam..

Yupo tayari kufanya kazi mahali popote ndani ya dar es salaam.
Ni dereva mwaminifu.

Terms na vigezo vya mkataba vitaongeleka baada ya kukutana.

Kama unabajaji na unapata changamoto ya dereva PM yangu ipo wazi.
 
Back
Top Bottom