Dereva amefuata Google maps

Huko kuna waizi ndo mana kapaki hvyo
 
Mi nilishawahi Kufuata Google Map Bhana Nilikuwa naelekea NACTE pale ... Ikawa Inanielekeza Vizuri Tu Mara Industrial Way naifuata.. sasa Ikaniambia Kupiga Kona Nikapiga...

Cha Kushangaza Naona Geti la NACTE na Bango la Kuingilia Yenyewe Inaniambia Nizunguke Nyuma Ya JeNgo ndo Kuna Mlango[emoji23]
 
Hopeless kabisa saa nyingine ila pia inachangiwa na uingizaji wa details.
 
Ahahaha kweli mkuu hiyo siku mwenyewe nilishangaa,kukata kona tu geti hili hapa nikaamua kuweka simu mfukoni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…