Dereva ABOOD bus mtatuua mwee

Bi nyakomba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
385
Reaction score
104
yani hapa nimeloa Jasho kwa woga. gari inakimbia ka karogwa. shiiiit.
 
kwani huko barabarani hamkutani na trafiki...
 
Kabla ya kuja na kuanzisha uzi hapa umeongea na huyo anayeliendesha hilo basi na kumsihi apunguze mwendokasi?
 
Soma namba za simu umpigie bosi wao hao madereva wana simu za mchina hawawezi kusoma JF
 
yani hapa nimeloa Jasho kwa woga. gari inakimbia ka karogwa. shiiiit.
dogoo sasa viabudu vinakutoa jasho je ukipanda matreni ya huku mambele siutajam...kitu kinaserereka maamae hadi ikikupita rangi huikumbuki ni laana chaliiyangu. Ukiona inavyokatiza hilo daraja kifaa kinabwaka kikiibuka maamae mpo stockholm. Kikizama tena na kichomoze mpo oslo. Kweli Mzungu hajakariri kasoma nakuelewa.
 
kwa mfano nahitaji kumjibu mtu kile alopost.. nafanya vp ili kile alichopost kionekane juu ya jibu langu..
 
kwa mfano nahitaji kumjibu mtu kile alopost.. nafanya vp ili kile alichopost kionekane juu ya jibu langu..
nimekusoma. Anzia mwanzo kabisa ya posti ya jamaa. Tuko pamoja dogoo
 
yani hapa nimeloa Jasho kwa woga. gari inakimbia ka karogwa. shiiiit.

Ulilazimishwa Ulipande? Shuka Na Utembee Kwa Miguu Hadi Dar Kama Wale MAPOPOMA Wa Kisukuma Waliotoka Geita Hadi Dar Kwa Miguu Kwa Nia Ya Kwenda Ikulu Na Wamejikuta Wakiisha Ikulu Ya Korokoroni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…