DereChauvi ahukumiwa miaka 22.5 jela

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,016
9,885
Derek Chauvin, askari aliyemuua George Floyd kwa goti amehukumiwa kwenda jela miaka 22.5

Kifo cha George Floyd kilisababisha maandamano makubwa ya #BlackLivesMatter nchini Marekani ambapo wananchi walitaka haki itendeke

Aidha askari wengine waliokuwa na Derek siku ya tukio kesi zao zinaendelea kusikilizwa
 
hata Polisi wa Tanzania wanajifanya wao ndio wameshikiria uhai wa Raia yaani anaweza kuamua uishi au ufe mapimbi hawa na wenyewe wangekua wanakutana na kibano kama huko kwa wenzetu mbwa hawa…
 
Ubaguzi ni kitu mbaya sana.Alidhani atawafurahisha weupe kwa kumdhibiti Floyd kumbe analeta aibu kwenye familia yake.Pole yake.
 
Back
Top Bottom