Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,797
- 22,356
Hili ni jema sana mdogo angu. Unakomaa komaa kwa busara. Nimefurahikwanza kabisa Lovie lazima ujue kuwa hakuna gumu linalodumu kwa muda mrefu, hata liwe gumu kiasi gani, fahamu kuwa kiza kitapita na jua litawaka tena..!!
Yes, umeibiwa kazini, you gotta first thankful hata unacho cha kuibiwa, kuna watu hawana hata hiyo kazi Lovie, hawana hata hiyo Pesa ya kuibiwa, na bado hawakati tamaa, wanatabasamu, wana tumaini na wanaamini ipo siku itakuwa sawa...!
Jifunze kwanza kuwa na moyo wa shukrani hata kama hali ni ngumu kiasi gani, kinachotutesa siku zote siyo hali zetu hapana, tunateswa na 'attitude' zetu - namna tunayachukulia matatizo yetu, jambo likitokea kwenye maisha yako unalibebaje, unahisi umebeba dunia sivyo.!?? Hiyo itakuumiza sana..!!
Wameiba Pesa right..?? Hawajaiba uzima wala afya yako Lovie, hawajaiba mikono yako ya kupambana tena, kwanini unaruhusu waibe na amani yako..?? Waondoke na furaha yako..?? till date Pesa zimepotea ngapi..?? uliwahi kufa toka umeanza poteza Pesa..? Hell nuh'..!!
start from the scratch, kisha pambana tena, tena zaidi ya mwanzo, tukianguka kwenye tope tukachafuka, hatulali kwenye tope milele, tunanyanyuka tunakung'uta tope tunasonga mbele, wakati umekaa hapa unalia kwa kila kilichopotea, maisha hayasimami yakakungojea umalize kwanza kulia, hapana mamaa, watu wanaendelea mbele na maisha yao, hasara hapa inakuwa ni yako..!!
this Life is 100% You Vs. You, kuanzia sahii, badili kabisa namna unaichukulia kila situation inayopita kwenye maisha yako, Jifunze kuliona tatizo in a very Positive Version, Yes, hili limekuja na limetokea lakini najua limetokea ili nipambane zaidi, halijaja kukurudisha nyuma, Limekuja kukuongezea ujasiri, kuna wakati matatizo yanakuja ili kutuandaa na baraka kubwa zaidi ya pale tulipokuwepo,
wewe ni dhahabu, na dhahabu haiwezi ng'aa mpaka ipite kwenye moto mkali, Kukata TAMAA ni Mwiko Lovie, unakata tamaa..?? Umeichungulia kesho yako ukaiona inafananaje..?? Unakata tamaa kwani ni mwisho wa maisha yako..!!?? Usimpe shetani nafasi kwenye maisha yako kamwe..!!
Mungu akutie nguvu, akufariji, akupe tabasamu na aiponye nafsi yako, ALL IS WELL SWEETHEART..!!
The Monk
Hujakosea ila saivi mie mzuri sana nimepata mzungu kanitoa gunduu ila sikutaki una gundu na nuksiWalah siji, nyie watu wafupi wanene mna shida sana, maana ndio huwa nahis uko hivyo kwa muandiko wako tu
Sawaa...ndio utulie sasa hiv, usije ukavagaa wachawi tukutoe kafara mbuziHujakosea ila saivi mie mzuri sana nimepata mzungu kanitoa gunduu ila sikutaki una gundu na nuksi
Usione aibu kwenda hospital mara bila kuchelewa. Ni hatari mno na kwa kuwa umetambua kuwa una depression basi kubaliana kuwa una hilo tatizo na linatakiwa lipatiwe tiba.Sasa siwezi hata ongea nikisema neno nalia.
Eh kama yule mwana sasa mie sitolewi kafara kindezi nampango wakuwa na utajiri wakutoa wachumba zangu kafara kila anayelala namie anakufa isipokuwa huyu mtu atakayenioa .Sawaa...ndio utulie sasa hiv, usije ukavagaa wachawi tukutoe kafara mbuzi
Naomba chimbo la viatu sasa, raba kali za kiume. Hili lipo ndani ya uwezo wako.😂😂😂😂 Hatareee
Vibuyu km vibuyu
Mimi mbona siuzi viatu, labda uniambie khs vijora shehe wangu 🤣Naomba chimbo la viatu sasa, raba kali za kiume. Hili lipo ndani ya uwezo wako.
Hahah, hapa sibanduki kiukweli.Mimi mbona siuzi viatu, labda uniambie khs vijora shehe wangu 🤣
Siuzi viatu mimi!! Uliniona lini napost viatu??Hahah, hapa sibanduki kiukweli.
pole sana. wezi wa ukimani wanarudisha sana nyuma maendeleo. umechukua hatua gani? njia asilia na zile za mzungu umejaribu?Nina bahati mbaya love.
Nimeibiwa.
kwanza kabisa Lovie lazima ujue kuwa hakuna gumu linalodumu kwa muda mrefu, hata liwe gumu kiasi gani, fahamu kuwa kiza kitapita na jua litawaka tena..!!
Yes, umeibiwa kazini, you gotta first thankful hata unacho cha kuibiwa, kuna watu hawana hata hiyo kazi Lovie, hawana hata hiyo Pesa ya kuibiwa, na bado hawakati tamaa, wanatabasamu, wana tumaini na wanaamini ipo siku itakuwa sawa...!
Jifunze kwanza kuwa na moyo wa shukrani hata kama hali ni ngumu kiasi gani, kinachotutesa siku zote siyo hali zetu hapana, tunateswa na 'attitude' zetu - namna tunayachukulia matatizo yetu, jambo likitokea kwenye maisha yako unalibebaje, unahisi umebeba dunia sivyo.!?? Hiyo itakuumiza sana..!!
Wameiba Pesa right..?? Hawajaiba uzima wala afya yako Lovie, hawajaiba mikono yako ya kupambana tena, kwanini unaruhusu waibe na amani yako..?? Waondoke na furaha yako..?? till date Pesa zimepotea ngapi..?? uliwahi kufa toka umeanza poteza Pesa..? Hell nuh'..!!
start from the scratch, kisha pambana tena, tena zaidi ya mwanzo, tukianguka kwenye tope tukachafuka, hatulali kwenye tope milele, tunanyanyuka tunakung'uta tope tunasonga mbele, wakati umekaa hapa unalia kwa kila kilichopotea, maisha hayasimami yakakungojea umalize kwanza kulia, hapana mamaa, watu wanaendelea mbele na maisha yao, hasara hapa inakuwa ni yako..!!
this Life is 100% You Vs. You, kuanzia sahii, badili kabisa namna unaichukulia kila situation inayopita kwenye maisha yako, Jifunze kuliona tatizo in a very Positive Version, Yes, hili limekuja na limetokea lakini najua limetokea ili nipambane zaidi, halijaja kukurudisha nyuma, Limekuja kukuongezea ujasiri, kuna wakati matatizo yanakuja ili kutuandaa na baraka kubwa zaidi ya pale tulipokuwepo,
wewe ni dhahabu, na dhahabu haiwezi ng'aa mpaka ipite kwenye moto mkali, Kukata TAMAA ni Mwiko Lovie, unakata tamaa..?? Umeichungulia kesho yako ukaiona inafananaje..?? Unakata tamaa kwani ni mwisho wa maisha yako..!!?? Usimpe shetani nafasi kwenye maisha yako kamwe..!!
Mungu akutie nguvu, akufariji, akupe tabasamu na aiponye nafsi yako, ALL IS WELL SWEETHEART..!!
The Monk
Pole sana Mpendwa, ila naomba nikuhakikishie kuwa hilo nalo litapita, ni kweli sasa huoni mwangaza ila bado haimaanishi kuwa hapatakucha..!! Patakucha mpendwa, lazima pakuche, be strong please..!!Asante sana mkuu kwa haya maneno yako yamenitia nguvu mno.
Kuna hali ya kukata tamaa naipitia kwa sasa.
Kuna mahali nilikuwa nafanya kazi ila kwa sasa nimeipoteza hiyo kazi kutokana na kupishana kauli na maboss, pia kuna kiasi cha pesa niliwekeza kwenye biashara fulani sh. Laki tano ili nipotezee mawazo ya kupoteza hiyo kazi ila pia na hiyo biashara imekufa bila kuingiza hata mia kama faida.
Yani mambo yote hayo yamefanyika kuanzia 24 Aprili 2024 mpaka wiki hii ya mwisho ya mwezi May.
Juzi kati nimekaa kitandani nimelia sana kama mtoto mdogo mana naona giza mbele yangu na mpaka sasa sijui kitakachofuata kwenye maisha yangu.
Ulichokiandika hakiwezi kubadilisha uhalisia wa ninayoyapitia ila atleast nimepata amani ya moyo kuwa hali hii nayo itapita.
hivi bado upo hai mpaka leo?Sasa siwezi hata ongea nikisema neno nalia.
Pole MbagaAsante sana mkuu kwa haya maneno yako yamenitia nguvu mno.
Kuna hali ya kukata tamaa naipitia kwa sasa.
Kuna mahali nilikuwa nafanya kazi ila kwa sasa nimeipoteza hiyo kazi kutokana na kupishana kauli na maboss, pia kuna kiasi cha pesa niliwekeza kwenye biashara fulani sh. Laki tano ili nipotezee mawazo ya kupoteza hiyo kazi ila pia na hiyo biashara imekufa bila kuingiza hata mia kama faida.
Yani mambo yote hayo yamefanyika kuanzia 24 Aprili 2024 mpaka wiki hii ya mwisho ya mwezi May.
Juzi kati nimekaa kitandani nimelia sana kama mtoto mdogo mana naona giza mbele yangu na mpaka sasa sijui kitakachofuata kwenye maisha yangu.
Ulichokiandika hakiwezi kubadilisha uhalisia wa ninayoyapitia ila atleast nimepata amani ya moyo kuwa hali hii nayo itapita.
kumbe unajua kuna kuanguka na kusimama kipi kilifanya useme itakuua.....Unasubiri uone anguko langu.
Pole sana nimeshapona.