Deo agro campany

nane nane inaanza lini wadau? Kwa morogoro huwa inafanyikia maeneo/mtaa gani?
 
Nanenane inaanza tarehe 01/08 hadi 08/08,
 
Bavaria
Nilitaka niku pm naona pm haifunguki, naomba ushauri zaidi, haswa unajihusisha na kuprocess mazao gani changamoto zikoje
 
Last edited by a moderator:
Kuna mbolea ya Em AX ni rafiki wa mazingira, je una habari na hiyo kitu???
 
Bavaria
Nilitaka niku pm naona pm haifunguki, naomba ushauri zaidi, haswa unajihusisha na kuprocess mazao gani changamoto zikoje

Mazao mbalimbali mkuu. Nitajikita kwenye changamoto;
1. Mtaji ni shida, hasa ukiwa umepata soko zuri unahitaji raw materials nyingi, vifaa, na rasilimali watu.
2. Soko nalo ni shida, hapa ni vizuri kama una process toka shambani kwako ukaanza kuapproach mahoteli ya karibu wakakupa order. Hatuna haja ya kuwategemea sana madalali, wananyonga wale.
3. Labour hasa wafanyakazi waaminifu, watu watakaofanya kile unachotaka kwa wakati na uaminifu wa hali ya juu. (hili ni tatizo kubwa sana)
4. Maintaining productions, hapa ni kuzalisha kwa kiwango kilekile wakati wote, endapo ukawa na constant order. Mazao ya msimu yanasumbua sana. Hakikisha unapata a constant supply of inputs.

PM yangu ina matatizo mkuu, usisumbuke nayo.
 
Mrejesho mkuu
 
Habari za siku wakuu, nimekuwa kimya mda mrefu hii ni kwa sababu ya ubize na kupata faida kidogokidogo kwa kila mvuno, ninaendelea na kilimo cha bustani ingawa sijastep sana, nikitulia nitawapa mrejesho vizuri(kwani kikundi kimesambaratika na nimebaki mwenyewe, nikiendeleza ila siko vibaya sana)
 
big up mkuu.
 
magu sehemu gani mkuu
 
Mtu akitaka kujiunga na nyie yaan patina ni vigezo gani anatakiwa kuwa navyo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…