IrDA
JF-Expert Member
- Aug 26, 2010
- 745
- 360
Hakika penzi langu kongwe kama fasihi simulizi,kwani nakupenda kama Ngoswe alivyo mpenda Mazoea,wala sina madem wengi kama Joti wa kilio chetu,nawe ucwe kama Furaha wa orodha,sintakutenga kama Takadini,coz cna dhiki kama watoto wa mama ntilie bali nitakupa maneno matamu kama Malenga wapya na nitakuliwaza kama mashairi ya Wasakatonge,napenda tuwe kama Kiima na Kiarifu,au fani na maudhui,penzi letu lidumu kama Fasihi Andishi,Vp upo tayari tufanye unyambulishaji na Uambishaji? Jamani nakupenda kama kumbikumbi wanavyopendana