Yule jini ndiye katufikisha hapa tulipo. Kwa ushamba wake alikuwa anakopa mikopo ya kibiashara matokeo yake mikopo ime-mature, marejesho yanatakiwa wakati hata alichokikopea hakijakamilika.MTANIKUMBUKA!
marehemu alisema kabla hajaanza kuugua.
Ndiyo maana inabidi mama ahangaike huku na huku ktk kujaribu ku-setrle hii crisis.
Afe tena huyu jiwe huko aliko.