Deni la bodi ya mikopo

MpareJunior

Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
34
Reaction score
22
Kwa deni ambalo nadaiwa nahisi nitafika miakaa arobaini litakuwa halijaisha kabisa,sasa nashindwa hata kuelewa aisee na hali hii ngumu.Haya tumuachie Mungu
 
pole san mkuu,lakini hongera kwa kuwa kwa deni hilo ulonalo limeweza kukusomesha...kikubwa pambana.utafanikiwa kulipa mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…