Denda limeniponza

Denda limeniponza

The Don

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,499
Reaction score
1,172
Ni kama miujiza! Nilikua mchumba ambaye kweli ni mzuri kisura,kitabia na umbo pia ajabu ni mara nyingi tukiwa tunasex hataki maswala ya denda kabisa nikachunguza nini tatizo labda ananuka mdomo nkakuta yuko safi, karibuni nkaamua kumwandaa vizuri ili nipate denda maana ndo kinogesho pia.

Mtoto baada ya kulainika na kua hoi hajielewi akawa anatoa ushirikiano kisawia denda full lita, katikati ya kujihudumia nikahisi kitu kizito mdomoni, Lahaula! kutaharuki nikatema meno manne, duh! nkahisi ni zombie/vampire na ndo muda wa kuniua umewadia, kwa ujasiri nikamshika kichwani ili nimwone vizuri,ghafla wigi likachomoka akabak kipara na mdomon meno ya mbele hamna maana alikua anaongea kama kutaharuki(full vampire).

Dah! Kwa hofu nikaanguka chini sikutambua kilichoendelea,kuja kushtuka kashaondoka nikabak na nundu ya kichwani coz niliangukia kichwa,tumeachanam paka sasa sina hamu na hawa mabinti wa urembo wa kujiongezea!

Kitu natural beauty basi, girls muwe in reality plz.
 
yatang'okaje kwa denda,
alikuwa mapengo.
 
Sasa hilo denda na meno wapi na wapi ndg yangu hata km alikuwa na meno ya bandia?
 
uyo dem ulikuwa umekaa naye sikungapi katika mausiano? mpaka ushindwe kumtambua anamapengo kwamaana sirahisi mtu kutomfaham mpenz wake hasa katika maumbire ya usoni
 
Hadithi njoo,,, uongo njoo,,, utam kolea!unanikumbusha sana stori za zaman! Well done
 
koh koh koh! nmecheka hadi napaliwa jmn dah wkend muruaa!
 
net time,

uwe unabanjuka kwa uangalifu!!

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom