Demu wangu anataka kutoa mimba.

Hapo kwenye red "kama anakazi mtafutie" sasa vipi amtafutie na anayo kazi tayari?! au ulitaka kuandika "Kama hana kazi mtafutie?" huu uandishi wenu wa kukwepa kuitumia herufi "H" unapoteza kabisa maana ya neno lililokusudiwa.
 
Wadada wamekuwa waoga kutokana na matendo yanayoendelea kwenye jamii

Wanaume wengi wana mahaba kabla mtu hajawa Mama, akishakuwa Mama unageuka na kumwacha single

Unaona mawe wanayotupiwa single mother kila kona?!

Hapo ukute hata kwenu hawamjui
 
A FOR .................................APPLE
B FOR................................... BAPPLE
C FOR ....................................CAPPLE
D FOR .........................................DAPPLE
E FOR ............................................EPPLE
F FOR............................................FAPPLE
G FOR ............................................GAPPLE
 
Wadada wamekuwa waoga kutokana na matendo yanayoendelea kwenye jamii

Wanaume wengi wana mahaba kabla mtu hajawa Mama, akishakuwa Mama unageuka na kumwacha single

Unaona mawe wanayotupiwa single mother kila kona?!

Hapo ukute hata kwenu hawamjui

wanamjua ila bado sijamtambulisha rasmi hii ni kutokana na uoga wake

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari zenu wanajamvi.

Nimejaribu kwa namna zote kumkataza lakini anang'ang'ania isitoshe nina future nae.

Naombeni ushauri nimfanyeje maana niko confused.

Uzi tayari.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Mimba sio na anakupenda ataki kukupa mzigo sio wako

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
H for Happle
I for Iapple
J for Japple

Sent using Jamii Forums mobile app
 
She is not into you.

Wanawake tunapokuwa tunampenda mtu, we can't wait to have his child so we can make a family.

Let her go. Na ujifundishe next time upachike mimba kwenye uterus ya mke wako na sio demu.

Okay?
 
Haaaaa kama unakunywa balimi agiza ntalipa japo icho kinge ukiwa una njaa na hii january hata sio kizuri
 
Aliyebeba mzigo ndio anaujua uzito wake;kama ameamua kutoa,muache atoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…