
Watumiaji WA Android bhana adi apo kashindwa kupata jibu...lbd hataki kuzaa na wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
haaaa labda hana malengo ya kuolewa yaaan kajtambulishe kwaoanasema anawaogopa dada zake watamwonaje mkuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mi mtu kama huyu ninamwacha atoe mi sishiriki dhambi yoyote ile.na mademu ni wengi beautiful ones are not yet bornNamwonea huruma anaweza asizae tena au akafa mkuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu demu kutaka kutoa mimba lazima kuna sababu inayomfanya atowe hiyo mimba ili asitowe fanya hivi mjali sana mpe matumani mengi kama anakazi mtafutie kazi au mpe ata mtaji mpe muda wa kumjali na uhakika atatoa hiyo mimba mimi nilikuwa na demu wangu alivyoniambia nataka kutoa mimba ilibidi nimjali sana kumpa moyo paka akajifungua baada ya kujifungua mtoto siyo wangu hii dunia hii siyo kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
somehow maneno yako yanaendana na nilichokua nakiwaza maana mm nimemwambia toka tunaanza mahusiano kwamba sitaki nimchezee ila naona labda mtoto atakua sio wangu asee ananipa sababu za ovyo sana eti nitamtelekeza nimeamua tu afanye analotaka ila asinishirikishe katika hilo.
Sent from my iPhone using JamiiForums