Demu wa facebook kamuibia mshikaji wangu

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,402
Reaction score
1,618
Walikuwa kwenye uhusiano wa takribani miezi kati ya sita au saba, mpaka kufika hatua hiyo wakawa tayari wanaaminiana.

Sasa jana jamaa alikuwa ana mgegeda huyo demu kumbe ndio alikuwa anamgegeda kwa mara ya mwisho. Baada ya kumaliza kumgegeda akaenda kuoga mara moja ili amsindikize.... aliporudi kakuta demu hayupo.

Akahisi pengine kaenda dukani kununua vocha au kitu kingine, baada ya kukaa muda anaona mtu hatokei akasema ngoja nimpigie simu akakuta simu hamna. Akajua tayari ashalizwa, ndio wazo la kuangalia wallet likaja, akakuta nayo pia haipo. Na ilikuwa na laki nne, simu ina thamani ya sh. laki nane.

Lakini hiyo haipo kwa wanawake tu hata wanaume pia wapo wa namna hiyo, wakati tupo chuo kuna dada mmoja alienda kuonana jamaa yake Morogoro lakini walikuwa hawafahamiani kwa undani sana, siku hiyo amefika hotelini wamelala mpaka asubuhi mwanamke akaingia kuoga kutoka anakuta jamaa kabeba simu mbili(black berry) kipindi hicho black berry ndio zipo.kwenye chat vibaya yaani na wallet ina hela zote (laki mbili) hata nauli alikosa ikabidi tumtumie.

Ahahaha.... ndio watoto wa mjini walivyo, nikakumbuka jamaa mmoja Sinza aliibiwa kila kitu mpaka kapeti, ye kaenda kazini akamwachia demu funguo eti akamfulie na kumpikia then ye akirudi atamkuta.

KUNA WATU WEZI ACHA KABISA.

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
 
Last edited by a moderator:
Mjini shule shamba kilimo....

Mpe pole rafiki yako
 
Mjini msingi kiuono,, ndo msemo wao siku izi
 
Mm enzi zangu za kula ujana nlikuwa nkiingia room na demu simjui tunasogeza kitanda mlangoni kwa usalama wa mali zetu km hataki aende zake.
 
naona tafiti zimeisha
 
Madada poa wamejaa sana humu kwenye mitandao
 
Mm enzi zangu za kula ujana nlikuwa nkiingia room na demu simjui tunasogeza kitanda mlangoni kwa usalama wa mali zetu km hataki aende zake.

style ya k.u.to.mb.e.a malaya hii inafaa sana kwa usalama waziri wa smg hakutumia hii ndo maana akapigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…