Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,750
- Thread starter
- #41
Hahha watu wanajipigia tu mwingine 5 mwingine mbili...wew endelea kuchagua
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho hatoki mcongo kwa mchinaNaimani kesho tutaongea lugha moja !?
Tuwakomeshe wafitini Jirani!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mnoo na majukumu
Tutamfanyia tukio ambalo sio la kibinadamu kabisa.Kesho hatoki mcongo kwa mchina
Ndio ndio
Na ikiwa vice versa tufarijiane pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ndio
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna shidaNa ikiwa vice versa tufarijiane pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona husemi 3 na 1 vya nguvu? Fumbo mfumbie mjinga!Kama mnavyojua wkend inamambo mengi ,leo nikiwa nimekaa sehemu napata mbili tatu akaja dada mmoja kwa muonekano anaonekana mcharuko hajatulia...dada hyo kaja kaunta kaanza kuomba bia,kapewa ulabu wa kutosha hee kumbe manzi mwenyew hana kichwa cha pombe si kaanza kuropoka...
Anasema nanukuu...."nimekutana na wanaume watatu lakini hawajanifanya kitu"
Tukamwambia dada vipi akasema nimekutana na mmoja kampiga goli 5(khamsa) hajamridhisha akahamua kumchukua mwingine nae akampiga 5(khamsa) pia hakuridhika kabla hakujapambazuka akaenda kutafuta mwingine huyo ndio mchovu kabisa kampiga 2...dada kwa uchungu anasimulia kwa uchungu hajaridhika japo jumla kapigwa goli 12, tukamwambia utakua umeshindikana wewe jaribu kutulia maisha haya usiyapaparikie...jibu alilotoa ni kwamba kesho anarudi kwa yule mwanaume wa kwanza aliempiga goli 5 labda anaweza kumfikisha.
Daima mbele nyuma mwiko
Tukutane taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbumbumbu katika ubora wako husomi mada ww unacomment tu.Unajipa vyeo,goli 12 nguvu zako au nguvu za kuboost??? Hakuna anaeweza kwenda idadi hiyo kwa nguvu zake. Acha kutumia dawa ukiendelea miaka 40 hutakua na uwezo tena wa kwenda hata 1 la kwako
Sent using Jamii Forums mobile app