Nina miaka 27 lkn sijawahi kufanya hilo tendo. Naamini ipo siku mungu atanipa wa kwangu nami nitafurahia aliye halali wangu.
Namwomba mungu anikutanishe na ambaye hajafanya hicho kitu ili sote tuwe wanafunzi wa hilo tendo sio nipate atakayegeuka kuwa mwalimu wangu na kuanza kunicheka kwa ushamba wangu.