Nakuchukia sana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 487
- 934
Nimetokwa na machoz, nkikumbuka venye dem huyu nlivyojitoa kwake.
kwel n machungu na nimeumia sana,nlijinyima iliapate,ila amesema hanitak mm sio ya type yake,saiv yupo na mjuba mwenye mapen ten tajir
ila mm wacha niendelee kula miayo,maan maj yakimwagika haizolek.ila ni cha jifunza somo,wacha nikamat charles kitwanga