Demu kaniaribia siku

Ulizubaa mno, ilitakiwa utumie mbinu mbalimbali kubaini ukweli palepale, ungeingia hata kwa kushtukiza hicho chumba ona sasa unavyoteseka kwa mawazo na jakamoyo.
 
Nakushauri siku nyingine mambo ya afya ya mpenzi wako ni jambo la wote hivyo haikuwa vema kumuacha amuone daktari peke yake kwani hakuna siri kati yenu. Kwa sasa lipotezee suala hilo litakupotezea muda sana.

Asante kwa ushauri
 
Naamini kwenue hospital kuna manesi pia ss fanya kuchukua na ww nesi mmoja muwe mnabadilishana maongezi kwa mda mrefu..

Tena kale ka mapokezi kauri kweli halafu kanaonesha kanajitambua
 
Asanteni sana kwa ushauri wenu walau nimepata faraja sasa
 
kwani daktari mmoja wa Tanzania anahudumia wagonjwa wangapi kwa dakika 60?
 
Wewe umempataje wenzako washindwe?

Wacheni uzinzi oaneni.
 
So unahisi dr na mpenzi wako walikuwa wameunganisha vikojoleo au?

Hahahahaha! I love reading comments za watu humu. Kha! Vichaa tupo wengi kwa kweli. You made my night
 
Alikuona we jinga umejirudisha mwenyewe so alikuwa anakuonesha kuwa yeye bingwa. Hakufai huyo kimbia sio kutembea.
 
we endelea kutafuta mwingine hapo umesukiwa mpango wa kukuangamiza...kwanza kwanini urudi kwake.???
 
Acha wivu wa kike wewe. Ina maana kama daktari ana mahusiao na huyo''mgonjwa''wa moyo wako atashindwa kumpeleka hotelini mpaka asubiri siku umemsindikiza hospitali? Je;akikuaga anaenda saloni halafu akaenda kwa huyo doctor utajuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…