Demu huyu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Demu huyu!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Dec 8, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,542
  Likes Received: 2,240
  Trophy Points: 280
  Kama kuna demu nimempata nimesomesha akakubali tukaenda guest kaninyima nikataka kulazimisha akaniuliza swali ukinilazimisha utaenjoy??nikona niswala la msingi akasema kwanini tusifanye kwa nafasi wakati mimi nimejitune??hivyo nikatoka guest mpaka sasa sijaambulia!!je wanawake wahivyo wanatakiwa kutolewa ngoma kwa lazima??maana ukionyesha usitaarabu unaonekana fara,lipi jema.
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Huh

  Uko tayari kujibu rape charges?
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Alikuwa anakuzuia ubakaji
  Alikuuliza ili ajue wewe ni mbakaji au lah
  Mie wa hivyo sirudi tenaaaa
  Kwani mliingia gesti kwenda kukenua na kuimba kwaya?
   
 4. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Guest ulimwambia mnaenda kufanya nini?
   
 5. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2010
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  huyo aliingia guest kufanya nini au ulimwambia unaishi hapo?
  yawezekana alikuwa tayari ila akapima kimo akaona sio saizi yake .kuliko kukimbia bila ile nguo ya ndani,ilibidi ajihami mapema.
  endelea kumfuluzia akichomoa ujue vipimo vilichukua nafasi
   
 6. RR

  RR JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Labda walikubaliana kwenda kusuka nywele....
   
 7. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  si huwa mnasema kuwa mashine zenu ziko flexible na zinaweza kupokea mitarimbo ya size tofauti tofauti, sasa iweje kusema bidada ilibidi akimbie?
   
 8. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaani huwezi kumseduce mwanamke??kaka utaishia Lupango!
   
 9. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #9
  Dec 8, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Mie nahisi huyo ni housegirl katoka kijijini hajui watu wanakwenda kufanyanini GH wakiwa wawili kwa jinsia tofauti
   
 10. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hujambo we mwanamke?
   
 11. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijambo,na wewe pia hujambo?:teeth:
   
 12. MLATIE

  MLATIE Senior Member

  #12
  Dec 8, 2010
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 174
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  pole kaka maugwado ulibaki nayo huwezi jua labda kakupushia ngoma.maana inaonekana ulitaka kupiga kavu.utakufa ww?
   
 13. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #13
  Dec 8, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Heee! We kaka Kiiza wewe ina maana nini unakua unatafuta mpaka ushindwe kumvumilia awe tayari? Na ujue unacho waza wewe yeye hayuko huko, ndo maana akakunyima kwani we unamtaka kwa ajili ya ngono tu? Huyo dada atakua anajiheshim na pia hapendi kupelekwa guest house, na anakupenda ki ukweli hajakupenda kwa sex tu. Wewe unamtaka dada wa watu umlale tu yeye hataki hivyo anataka muwe serious. Angalia sinema ya Pretty woman imechezwa na Julia Robert na Richard (Jelle) sina uhakika na hilo jina la kwenye mabano anaejua anaeza sahihisha, so jiweke kwenye na fasi ya Julia Roberts na huyo Demu muweke kwa na fasi ya huyo Richard utapata jibu, we unaona unataka kipozeo viko kibao, huyo dada sio wa kuonjwa ovyo na ukijaribu akakubali tu ujue ndo basi tena atakuganda. Kuliko umpotezee muda wakati hauko serious unataka wa gesti bora tu uchape lapa, wa hivyo hata kwa nguvu huwa hawatoi . JESUS IS MY HOME BOY.
   
 14. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #14
  Dec 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  huyo demu mjaluo?
   
 15. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #15
  Dec 8, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Oa kaka umtie ndani awe mkeo ndo hatakusumbua manake kila muda atakuwa amejitune tu kadili ya ratiba. Mambo ya mainfi hayo!
   
 16. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #16
  Dec 8, 2010
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  KakaKiiza alikuambia hayo maneno niliyobold? huyo demu alitaka kuona msimamo je unaweza kumvumilia? au ilikuwa ni basi tu wataka kumvua?


   
 17. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #17
  Dec 8, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  au ulimwambia twende tukapige story ile kufika anashangaa story zimekua story.inawezekana hukumwambiaeal nini unataraji fanya na yeye.
   
 18. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #18
  Dec 8, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Ash! kwani demu akishakubali kwenda gest si anajua kinachoenda kufanyika? we ungemwangusaga tu... kuna wengine huwa hawakubali mpaka ulazimishe kwanza ndio wanalegea...ukiingiza japo kichwa tu...utaona analegea na kukupa kila kitu. nadhani alikuona zoba kama ulimwacha ivoivo.
   
 19. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #19
  Dec 8, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 737
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kulazimisha si vema. Uvoefu unaonyesha kama demu akikataa kiukweli huwezi kupita! Hupiti
   
 20. chobu

  chobu JF-Expert Member

  #20
  Dec 8, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  wewe ni mwanaume wa shoka!!!!!!! kutoka bila kunanihiiii!!!!!!!!! nimekusifu KIIZA!!!!!!:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
   
Loading...