Demu ana iphone X ananiomba buku ya luku

Na wengi wala sio wanawake..ni vidume tu matapeli vinaingiza kenge washamba
Accordng to mleta mada anadai amesha ongea nae,it means ni dem ila picha siyo zake,japo na midume imekuwa ming kwa kufanya mitindo hyo,Hata humu JF wamejaa.
 
Mwambie ajutumie picha yake akiwa uchi kama dhamana. Asipokurudishia unaipost instagram.
 
Madem weng fb na insta wanatumia picha zisizo zao ili kubamiza vichwa panz kama nyie.
Uyo apo nikupe namba yake upambane nae?
Screenshot_20190907-130818_Badoo.jpeg
Screenshot_20190907-130832_Badoo.jpeg
Screenshot_20190907-130854_Badoo.jpeg
Screenshot_20190907-130905_Badoo.jpeg
Screenshot_20190907-130928_Badoo.jpeg
 
Yaani kukuomba buku tayari ishakuwa tatizo mpaka umeamua kufungua uzi humu. Angekuomba 50,000/= je ?. Na sisi wanaume kuna muda tunafeli. Hebu let's be positive sometimes. Yawezekana ni kweli luku imekata hivyo anataka anunue hata huo umeme wa buku ili afike asbh kama ni hela akafuate benki au huko anakokujua yeye. Mtu kuwa na high profile haimaanishi kuwa kamwe hawezi kukwama.
Mtumie wewe uyo apo kama una hela zinakuwasha
Screenshot_20190907-130818_Badoo.jpeg
Screenshot_20190907-130928_Badoo.jpeg
Screenshot_20190907-130832_Badoo.jpeg
 
Huenda alikuwa anakuchora tu ili aone unareact vipi? Huenda pesa anazo kweli
Nimekutana mtandaoni na mtoto ana profile ya kishua balaa, mtoto mkali hatari picha zake yuko paris, dubai, Monaco, Venice. Selfie zake ameshika iphonex. Kitanda cha queen size velvet upholstery, kwenye gari pure leathet seats, five star hotels etc, yaani ana bonge la profile. Nimechat nae kanipa namba yake tumeongea fresh. Dah mara paap kanitumia ujumbe eti kama sitojal eti nimtumie elfu 5 aweke umeme wa buku eti luku imeisha. Yaani toka zali la mentali hadi kidemu cha mizinga dakika sifuri.
Kaniacha hoi simtumii.
 
Pole sana...

Maisha kwa wazazi siyo sawa na maisha yako mwenyewe kitaa..

Inawezekana hizo sehemu alikuwepo zamani... ila sasa amefulia...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom