Demokrasia ya matusi Tanzania.

IWILL

JF-Expert Member
Jun 2, 2011
346
120
Kama raia mwema wa jumhuri ya watu wa Tanzania kwa masikitiko makubwa nashangazwa na mstakabali wa siasa za Tanzania. kila kukicha kutoka midomo ya wanasiasa ni kauli kali kali zinamimika iwe ni chama tawala au vyama vya upinzani. Uhuru wa kutoa maoni kwa watanzania umekua na ninadhani umezidi kipimo.

Sasa imefika mahali siasa zimehamia kwenye mitandao ambako kila kukicha ni matusi utadhani hawa watanzania wamekosa kuwaambia ni wapi kikomo cha uhuru wa maoni, kwa kuwa wafuasi wa mitandaoni wanaonekena kuonyesha hisia zao hadharani huku wamejificha nyuma/mbele ya simu na computer zao.

Hali yakujieeleza kwa kutoa matusi inasikitisha na kusitaajabisha sana na cha kushangaza utaona wafuasi wa mitandao wanavyobuluzwa na watu wa mitandao kwa kupewa habari za kufikirika na matukio ya kutunga au soundbites kutoka kwa mtu Fulani, na tipu za kizushi kutaka kuchafua mtu au jamii.

Wanasiasa wanajukumu kubwa la kuhubiri uadilifu kwenye hadhira zao, hatuwezi kujenga nchi ya Tanzania kwa kutukanana namna hii na sidhani tutafika pahali tunakotaka kuelekea kwani hali iliyopo sasa nchi imevurugwa na wanasiasa professional ambao hawajui kingine cha kufanya Zaidi ya ridhiki lao liko mdomoni mwao. kwa kufuatilia yanayotokea nchini kuna kila dalili za machafuko kama kusipo zibwa ufa.
haya ni maoni yangu.
 
Mkuu pole hujalala muda huu unawaza siasa uchwara za bongo utapasuka kichwa we fanya yako achana na maneno ya shombo ya wanasiasa
 
Yote uliyoyaongea ni matokeo ya kufanya ujecha kwenye kura za watu.
 
Yote hayo wamejifunza kwa aliyoyasema mkuu akiwa bukoba yeye ndiye anaruhusiwa kutukana?
 
Back
Top Bottom