Chifu kamaliza
Member
- Nov 17, 2011
- 32
- 5
Demokrasia ya kweli tanzania itawezekana pale ccm itakapopata ufahamu kuwa haina hati miliki ya tanganyika kwa sababu imejisahau na kufikiri kuwa kila mawazo mapya ambayo hayatokani na ccm hayafai kusikilizwa na watanganyika ifike mahali sasa ccm itambue tanganyika sio ya ccm bali ni ya watanganyika wenyewe na watanganyika ndio wamewapa dhamana ya kuwaongoza tu. ccm ingekuwa inawapenda watanganyika na kufuata misingi ya dekrasia na utawala bora isinge wapandia watanganyika mbegu mbaya ya chuki kama vile ukabila ukanda,udini,tabaka ya waliokuwachonacho na wasiokuwanacho na sasa unapokuwa mpinzani wao unapewa jina la ugaidi.kwanini pale sehemu ambako ccm hawakubaliki wasitumie demokrasia ya kukubali walio wakataa kuliko kutumia nguvu nyingi hata kumwaga damu ya watu wasiokuwa na hatia.